St. Bakhita Health Training Institute

                        TANGAZO 

Taasisi ya elimu ya Mafunzo ya Afya St. Bakhita iliyopo wilayani NKASI mkoani Rukwa,
inawatangazia nafasi za masomo kwa mwaka 2020/2021 kwa wahitimu  Wote wa
kidato cha nne na kozi za afya kama ifuatavyo
•  Certificate na Diploma ya Utabibu “Clinical Medicine” 
•  Certifictate na Diploma ya Uuguzi na ukunga “Nursing and midwifery”
•  Certificate na Diploma ya Maabara 
•  Diploma ya Clinical medicine ya kujiendeleza – kwa wahimu ya certificate
•  Diploma ya Maabara ya kujiendeleza kwa waliohitimu Certificate 

                        Vigezo na Sifa za kujiunga na Chuo

Kwa kozi zote za Certificate na Diploma tunapokea wanafunzi kwa ufaulu wa masomo
manne kwa kuanzia Alama “D” na kuendelea kwa  Masomo ya Physics, Biology na
Chemistry.  
Pia taasisi inatoa kozi za Certificate za Information technology (ICT) na Assistance
Laboratory kwa wanafunzi waliomaliza elimu ya msingi na kuendelea 
form zinapatikana kwenye website ya chuo www.stbakhitahti.ac.tz  au unaweza
kutembelea chuoni au kwa kuwasilia nasi kwa mawasiliano yafuatayo
 (0769 011 484 /0716 183 598 /0756 356 364   /0625 686 159/0785 284 514 /0783
851 920)   
E-mail; This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
Ada yetu ni nafuu na zinalipwa kwa awamu  Nne(4).   
Asanteni  tunawakaribisha  watu  wote .  

 

Download Here

Latest News